Leviticus 1:5

5 aAtamchinja yule fahali mchanga mbele za Bwana, kisha wana wa Haruni kuhani wataleta damu na kuinyunyiza pande zote za madhabahu yaliyo penye ingilio la Hema la Kukutania.
Copyright information for SwhKC